Wadhamini wakubwa wa michezo nchini tanzania (TBL) wametangaza timu ya wachezaji wa pool table watakaokuwa nchini Malawi kuiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya ALL AFRICA CUP 2011.
Akiwapa moyo Mwenyekiti mpya wa BMT Ndugu Dionis Malinzi amewasihii kuiwakilisha Tanzania vizuri na kurudi na ushindi. kuonyesha kwamba anawaunga mkono amewapatia dola za kimarekani 1000 ili ziwasaidie katika safari yao na mambo mengine.