Mauwaji makubwa yametokea huko mara yanayotokana na ugomvi wa koo
Taarifa zinasema kwamba watu wapatao 16 wameuwawa jana wa ukoo mmoja
tunaendelea kufuatilia habari
Waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania pamoja na crew nzima ya ulinzi nafikiri watalimaliza