Hawa ni vijana wanaofanya kazi mjini Da es salaam katika ofisi tofautitofauti. wakiwa wako bize na majukukmu yao ya kulijenga taifa. Pia ni marafiki wazuri tu ambao wanapenda kutaniana kwamba mmoja ni ng'ombe mwingine ni ndama. watafute jijini Dar es salaam opposite na ppf house uwaulize wanamaanisha nini.
(Picture by Lucas)
No comments:
Post a Comment