Monday, January 18, 2010

HAPA NI MAJIBU MAZURI TU


Daudi Shao alimfurahisha mama wa kizungu baada ya kumpatia majibu yote mazuri.Haki ya Mungu Daudi anamajibu ya kufa mtu hadi mzungu anacheka ile ya sitaki nataka lakini kammaliza kabisa.
Daudi anafanya kazi na dada Jackline, Lucas na Aika.

No comments: